Jul 16, 2008

Ujumbe

Ujumbe wa kuhamasisha Wananchi kuhusu gonjwa la Ukimwi umewekwa kila sehemu na kwa kila namna sasa ni juu yetu kuchukulia maanani uzito wa jambo hili .

3 comments:

Kajima said...

I do not fully agree with the phrase,
these kinds tend to alienate the HIV/AIDS victims, i hope those digesting this comment see my point of view! Peace unto all(TUWE NA AMANI)

Kajima said...

nachelea kukubali moja, sehemu ya jamii bado hawana mwamko wa kujua afya zao. kauli hizi zinazidi kuwakimbiza mbali na lengo la taifa la kupima afya zetu, na mbili kauli hii na za namna yake zinaendekeza unyanyapa kwa waathiriki, mimi kama muhanga natahadharisha jamii na kauli nyanyapa kama hizi!!!

Anonymous said...

hapa sion unyanyapa,ila ni kuchukua tahadhari,kwani ukimwi sio ajali.