TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO
SHULE YA BWENI YA EPIPHANY YA WAVULANA NA WASICHANA ILIYOPO MAJIMATITU MZAMBARAUNI MBAGALA.INAWATANGAZIA KUWA INAENDESHA REMEDIAL CLASSES KWA WANAFUNZI WA O’LEVEL NA A’LEVEL KATIKA MASOMO YA SCIENCE NA ARTS
PIA INAWATANGAZIA KUWA BADO INAZO NAFASI KWA WANAFUNZI WA FORM ONE (I) NA THREE (III) WANAOPENDA KUHAMIA KATIKA SHULE YA BWENI KATIKA MUHULA UTAKAOANZA MWEZI JULY 2008
NJOO UJIPATIE ELIMU BORA KUTOKA KATIKA SEKONDARI YA EPIPHANY KWA NJIA YA WALIMU WENYE UZOEFU MKUBWA WA UFUNDISHAJI
KWA MAELEZO ZAIDI FIKA AU PIGA SIMU Na.
0733 286355 / 0754 291131 / 0714 028397 /0717 660 618
“EMPOWER CHILDREN FOR BRIGH FUTURE IS OUR MOTTO”
WOTE MNAKARIBISHWA
No comments:
Post a Comment