Jul 16, 2008

Usipotee ukiwa wizara ya Ardhi

Wananchi wamekuwa wanapata shida wakifika Wizara hii wasijue waanzie wapi,lakini sasa itakuwa rahisi kwani Wizara imeweka ubao wenye kuonesha mpangilio wa Ofisi zake.

No comments: