Jul 16, 2008

Hii ndo KITEGAUCHUMI











Hili ndio Jengo linaloongoza kwa kukamata moto ni zaidi ya mara4 sasa, ila wahusika naona wamelifumbia macho.Vifaa vya kutoa tahadhari ya Moto vyote vimevunjwa swich za Lift zingine imebaki moja nyingine zimeng'olewa kama picha zinavyoonesha.Je moto ukikamata hapa ni nani wa kumlaumu???

No comments: