WAKATI MASHINDANO YA KOMBE LA KAGAME YANA MALIZIKA LEO KWA FAINALI KATI URA NA TUSKER YA KENYA, TIMU YA YANGA IMEGOMA KULETA TIMU UWANJANI ILIKUTAFUTA MSHINDI WA3 KATIYAKE NA SIMBA SPORTCLUB.
KWA MUJIBU WA KANUNI ZA FIFA SIMBA IMEJIPATIA POINT 3 ZA MEZANI PIA NAFASI YA 3. HABARI ZAIDI CHUNGULIA HAPA BAADA YA FAINALI ZINAZO ANZA SAA KUMI ,UWANJA MPYA WA TAIFA
No comments:
Post a Comment