Feb 22, 2010

MKUNGU TSH 1500


Hizi picha nilizipiga mwanzoni mwa January,hapo ni Tukuyu Mkoa wa Mbeya,kwa wale walaji wa Ndizi huku ni bwerere,mkungu ni kati ya Tsh 1,500 hadi 3000,na ndizi sukari ni kati 200-500 kwa kichane.

No comments: