Maisha Bora kwa kila mtanzania
Kijana mmoja ambaye hakutaja jina lake, ikiwa anakusanya chupa tupu za maji zilizo tumika kwa ajili ya kwenda kuziuza.Kilo1 ni Tsh 500 ,kwa jinsi chupa zilivyokuwa nyepesi anabidi akusanye nusu ya kuroba ndo apate Kilo1
2 comments:
what happened to the other one?
Thanks to the blog owner. What a blog! nice idea.
Post a Comment