Tegeta na Mbezi ni sehemu zilizo kithiri kwa utaperi wa Viwanja na Nyumba,Wewe unayetaka kununua jiadhari kwa kuwa na Maofisa wa Ardhi ambao wakakusaidia kuhakiki Nyaraka na sehemu yenyewe maana unaweza kuonyesha sehemu tofauti ukauingia mkenge
Aug 7, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Angalia spellings kabla ya kupost comment. Jihadhari na si jihadhali, pia (utataperiwa)!!! Nakushauri upate editors, makosa mengi sana kwenye blog na yanaweza kusababisha watu wasiwe interested.
Nice idea though
Post a Comment