Jun 9, 2008

Dawa kwa wasioendeleza Viwanja vyao

TAALIFA AMBAZO ZIMEVUJA CHINI KWA CHINI NIKWAMBA KWENYE VIWANJA ELFU 20 VYA MRADI KUNA WATU WAMESHINDWA KUVIENDELEZA.
NA SERIKARI IMEDHAMIRIA KUVI (REVOKE) NA KUGAWIWA KWA WETU WENGINE IKUMBUKWE KWAMBA MRADI HUU ULIANZA KUMILIKISHA WANANCHI TANGU 2003,NA KATIKA MASHARTI YA KUMILIKISHWA ARDHI , INABIDI UIENDELEZE NDANI YA MIAKA 3.PIGA HESABU SASA WEWE ULIYE MILIKISHWA TANGU 2003 NA HADI SASA NI MIAKA MINGAPI NA HUJAWEKA KITU CHOCHOTE.TAALIFA HIZI ZINA UKWELI NDANI YAKE KWASABABU MCHAKATO HUU UMEANZIA DODOMA NA MUDA USIOJULIKANA UTAHAMIA HAPA DAR ES SALAAM KWENYE VIWANJA VYA MRADI..FANYA HIMA ENDELEZE SASA NA ULIPIE KADI YA ARDHI (LAND RENT)

Kama unahitaji huduma ya kijanaleo kwa kujua
Kiasi cha kodi unayo Daiwa (Land Rent.)
Michoro ya Nyumba ya haraka ambayo haihitaji kupitia Manispaa
Vifaa vya ujenzi nk
Piga 0713 021040 gharama nafuu

2 comments:

Anonymous said...

I'm thankful with your blog it is very useful to me.

Anonymous said...

whew..sasa mzee wahc nianze mchakato wa kuweka hata choo...