Msimu Birthday umemalizika jana ila mie nilikuwa kwenye Simu muda wote maana nilipokea simu hadi sikio likawa linauma,Shukrani kwa Mungu Wazazi ,Walezi,Ndugu jamaa na marafi kwani bila wao nadhani nisingekuwa hapa nilipo nawafagilia sana
Msimu huu ulikuwa na zawadi za aina mbili
Muda wa maongezi
Tishert
Waliojishindia muda wa maongezi ni
Geradi Kazinja 1000
Eliza Kironde 500
Peter Boniface 500
Pendo Boniface 1000
Janet 1000
Nawewe ambaye hukubahatika jaribu Mwakani kwa Tishert zimebaki
Jun 9, 2008
Jana ilikuwa siku ya kuzaliwa kwangu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
duh mzee huyo si moze?...mwambie afanye mpango aonekane kidogo amepotea sana machoni kwa wadau..sasa mzee suti duh!!
walahi besidei yangu nami nakuja kitunda na matunda
Post a Comment