
Hivi karibuni Nilikuwa safarini Morogoro Ifakara wakatinimejipumzisha ,nikaliona Gari ambalo lilikuwa na namba za serikali STJ 1812 aina ya Isuzu Huku ubavuni likiwa na maandishi makubwa yanayosomeka hivi ''LINAKODISHWA'' nimejiuliza maswali mengi bila majibu lakini nikaona niwashirikishe wadau ili nanyi mtoe maoni yenu ili jamii ielewe ukweli ulipo.Mnakaribishwa
3 comments:
Tatizo ni kwamba hata serikali yenyewe inakodishwa, hapo ndio kasheshe!
wewe vipi wewe ukifanya maskhara hata wewe utakodishwa.........heheeheee,
si halali ila ndo hivyo tena nchi YETU
tatizo magari yenyewe nayo yananukia ufisadi
Post a Comment