Watanzania wamejitokeza kwa wingi kupima kwa hiari ila baadhi yao majibu huyakimbia .Yaani akisha pima ni mbio .Nivizuri serikali ikaweka utaratibu wa kuwafahamisha wananchi umuhimu wa kuchukua majibu yao.
Lakini kuna kitu wapimaji wanachofanya ambacho kinaweza kumtisha mpimaji. Nakumbuka mara ya mwisho nilivyopima Dar, walikuwa wanakuuliza sana maswali. Kabla hawajakupima walikuuliza ni nini maana ya kuwa na vijidudu vya UKIMWI, ukitofautisha na kuugua ukimwi.Kabla ya kukupa majibu walipiga tena maswali kama je kama unao utafanyaje na maswali ya mkondo huo, kitu ambacho kinaweza kikakufanya ughahiri kutaka kujua.Naamini maswali ya utafanya nini ukijua wakuulizayo kabla hawajakupa majibu , hayana mpango zaidi ya kukutisha dakika za mwisho. Sidhani kama kuna mtu anajua kwa uhakika ata react vipi akishaambiwa anao.Sijui kama sehemu zote wapimazo ,wanautaratibu huu, ila pale red cross mbele ya Nyumba ya sanaa, ndipo nilipopimia mara ya mwisho Dar na walikuwa wanaweza kukufanya ukimbie. Halafu kikatokea kitu cha ajabu nilipopimwa.Huyo mwanadada akakosea mara ya kwanza kuja na bahasha yenye majibu yangu mpaka akastukia dakika ya mwisho kuwa alikosea faili. Hii shughuli nzito , ila naunga mkono wenye kuchukua majibu yao.
du na wewe ndugu kitururu,inaelekea we ni kicheche,manake unasema mara ya mwisho ulivyopima,unapimaga mara ngapi? Una bahati mara zote unaambiwa hauna,sasa hiyo inayofuata,ujue unao... unapima mara moja na unabadilisha maisha...nadhani hata wewe unapenda kuishi.

3 comments:
Lakini kuna kitu wapimaji wanachofanya ambacho kinaweza kumtisha mpimaji. Nakumbuka mara ya mwisho nilivyopima Dar, walikuwa wanakuuliza sana maswali. Kabla hawajakupima walikuuliza ni nini maana ya kuwa na vijidudu vya UKIMWI, ukitofautisha na kuugua ukimwi.Kabla ya kukupa majibu walipiga tena maswali kama je kama unao utafanyaje na maswali ya mkondo huo, kitu ambacho kinaweza kikakufanya ughahiri kutaka kujua.Naamini maswali ya utafanya nini ukijua wakuulizayo kabla hawajakupa majibu , hayana mpango zaidi ya kukutisha dakika za mwisho. Sidhani kama kuna mtu anajua kwa uhakika ata react vipi akishaambiwa anao.Sijui kama sehemu zote wapimazo ,wanautaratibu huu, ila pale red cross mbele ya Nyumba ya sanaa, ndipo nilipopimia mara ya mwisho Dar na walikuwa wanaweza kukufanya ukimbie. Halafu kikatokea kitu cha ajabu nilipopimwa.Huyo mwanadada akakosea mara ya kwanza kuja na bahasha yenye majibu yangu mpaka akastukia dakika ya mwisho kuwa alikosea faili. Hii shughuli nzito , ila naunga mkono wenye kuchukua majibu yao.
du na wewe ndugu kitururu,inaelekea we ni kicheche,manake unasema mara ya mwisho ulivyopima,unapimaga mara ngapi?
Una bahati mara zote unaambiwa hauna,sasa hiyo inayofuata,ujue unao...
unapima mara moja na unabadilisha maisha...nadhani hata wewe unapenda kuishi.

Post a Comment