
Mkuu wa shule ya msingi Nakifuma iliyopo Mukono District,alishindwa kujizuia kukaa chini pale wacheza utupu ambao walitumbuiza kwenye mashindano ya kumtafuta Mrembo wa Nakifuma,Yaliyo fanyika kwenye Hotel ya Chritex Hotel,Mkuu huyo wa Shule bila kujali kwamba Camera ya Kijanaleo ipo maeneo hayo alinyanyuka na kwenda moja kwa moja juu ya ukumbi na kuanza mauza kama picha inavyo muonesha.Hata hivyo msemaji wa Polisi maeneo hayo alilaani uchezaji huo wa utupu na kuwaonya waandaaji wa mashindano hayo wawe makini na waimbaji wanao waalika kutumbuza kwenye mashindano hayo vinginevyo hatua kali za kusheria zitachukuliwa dhidi yao.
4 comments:
Hii kali duh!
Kweli dunia yelekea ukingoni!
kaazi kweli kweli
sawa mkuu!nimekupata!kweli waalimu wanatufundisha mengi!hii imekaa pembeni kidogo kwa taifa la kesho
Post a Comment