Jul 19, 2007

Hatuna sehemu ya kuchezea....

Watoto hawa walikutwa wakicheza nje ya nyumba yao maeneo ya sinza jana,Sinza ina wimbi la watu ambao wajenga kwenye nafasi za wazi (OPEN SPACE) hivyo watoto wanakosa sehemu ya kuchezea badala yake wanacheza katikati ya barabara, kitu ambacho ni hatari kwao. (Picha na Charles M)

No comments: