Jul 16, 2007

Yaliyojili kwenye kampeni ya kipima UKIMWI kwa hiari viwanja vya Mnazimmoja


Miss Universe Tanzania 2007 ,Fraviana Matata akipata huduma ya kwanza baada ya kuanguka gafla alipokuwa anasubiri kupima Ukimwi Kwenye viwanja vya mnazimmoja

Mbali na ujumbe wa kuhamasisha watu wapime kwa hiari ,nahawa walitumia njia hii kufikisha ujumbe wao viwanja vya mnazimmoja


Baadhi ya viajana walio udhuria uzinduzi wa kampeni ya kupima Ukimwi kwa hiari wakimshangilia Rais Jakaya Kikwete alipokuwa anawasiri kuzindua kampeni hizo juzi kwenye viwanja vya mnazi mmoja (picha na Richard Mwaikenda)






















No comments: