Jul 17, 2007

Hili ndo daraja la Kitega uchumi

Hili ndilo daraja la kuingilia jengo la KITEGAUCHUMI mara mvua inyeshapo, Jengo hili lipo katikati ya mji ila pamekuwa pakifurika maji kwa nje na kuwa kero kwa watu wanaotaka kuingia ama kutoka maofisini mwao (picha na Charle .M)

No comments: