Jul 12, 2007


Mchungaji mooja amekamatwa uwanja wa ndege Entebbe nchini Uganda akiwa na vifaa vya umeme vinavyosadikiwa kutumika kupiga waumini shoti za umeme na kuanguka wakati wa maombezi.Polisi nchini humo imeweka wapelelezi ili kubaini wachungaji wanaojitia kuombea watu huku wakiwaangusha kwa shot. SIJUI KAMA KAMCHEZO HAKO KAPO HAPA TANZANI wana usalama wetu hii ni changamoto kwenu kutuokoa siye wenye presha maana hiyo short itatuua

3 comments:

chakubanga said...
This comment has been removed by the author.
chakubanga said...
This comment has been removed by the author.
chakubanga said...

Hii inafurahisha sana. Ila ninajiuliza kwa nini hivyo vifaa visimuathiri huyo mchungaji kama umeme unapitia kwenye mikono yake?