Jul 16, 2011

UGANDA

Pia tulikwendaKuzika Chanika Kiukweli kijiji chote kilikuwa totoro kwa kifo cha matate,Kutoka kulia ni Mke wamarehemu Matate, Aliye Bebwa kutokakushoto ni mtoto wa marehemu nadhani ana miezi si zaidi ya 3
Pia niliweza kusafiri chotera sehemu inaitwa chiumulo kwa bibi yake Kilian upande wa mama,Kutoka kulia wa kwanza mdogowake na Bibi yake kilian,wa2 ni Bibi yake Kilian ,w3 mama yake Kilin na w4 Baba yake kilian







1 comment:

Anonymous said...

utamaduni karibu tz