Sep 27, 2013

Mwizi wa Ng'ombe viboko 100


Mshikaki hatariThe largest walking robot measures 15.72 m (51 ft 6 in) in length, 12.33 m (40 ft 5 in) in width, 8.20 m (26 ft 10 in) in height and was made by Zollner Elektronik AG in Zandt, Germany. It was displayed in Berlin, Germany.

Hii ni hatari

Jul 5, 2012

Miundo mbinu ya kijijini,TUMEKWAMA

Hapa ni Kyaka kwa wenye kumbukumbu, Amini alilipua hili kanisa limebaki makumbusho.

Kisiwa chaMusila, Hapa ni mita chache to Bukoba Castam,

Ni siku ya J2 ufukweni mwa ziwa Victoria

Taswira, Minziro town

Panya road, Walio soma Muslimu Kyanumbu na kigazi, Labda tuuite old Kilaya Road

Picnick ipo, ila hapa ukionekana unakunywa beer Bilashaka wewe ni mgeni. Hapa ni {Kaliinya}

Jamani Kakungiri bado ipo,ila inahitaji matengenezo wadau.

Hapa Mpakani mwa Uganda Na Tanzania upande wa Minziro, Hapa kuna magendo ya kuvusha kahawa kwenda Uganda  mchana kweupeee!, Wadau Mpo??

 
Bill ya Town BEER , Hii ndiyo bill ya Kijijini

Jul 2, 2012KAGERA YETU YAKAUKA
Huyu ni Diwani Wetu mstaafi

Kuelekea Ofisi ya mkuu wa wilaya Chato

Nov 15, 2011

Hapo WAPI??

Kasheshe zake, kila akiamka ni Dilishani then anawaita Rafikizake kupitia Dirishani

DK, 1 analuka
Mrafiki nao walikula Keki
Mama naye keki alikula
Uncle Sisco naye alikuwepo
KEKI ILIKATWA
sherehe inandeleaa

Keki

VUVUZELA ANAJUA KULIPIGA
Kibandani kupiga simu

Kiliani Mchezo na Dadayake Makrina , Kwa wasio mfahamu Makrinina Ni Mtoto Wa marehemu Segawa
Michezo iliendelea
Siku hiyo hata yeye alisaidia kuandaa mapochopocho ya Birthday ya mwaka mmoja 14/11/011

KILIAN SIKU YA KUTIMIZA MWAKA

Nov 11, 2011

Jul 16, 2011

UGANDA

Pia tulikwendaKuzika Chanika Kiukweli kijiji chote kilikuwa totoro kwa kifo cha matate,Kutoka kulia ni Mke wamarehemu Matate, Aliye Bebwa kutokakushoto ni mtoto wa marehemu nadhani ana miezi si zaidi ya 3
Pia niliweza kusafiri chotera sehemu inaitwa chiumulo kwa bibi yake Kilian upande wa mama,Kutoka kulia wa kwanza mdogowake na Bibi yake kilian,wa2 ni Bibi yake Kilian ,w3 mama yake Kilin na w4 Baba yake kiliankanisani

Hawa kina mamaniliwakuta kanisani ,kama unawapata majina,nitumie kalolimukasa@yahoo.com

Mojayamikungu mikubwailiyoko kwenye shamba la mapadre pale kanisani, baadhi nadhanimmepata kwa ndizi iliyotolewana Paroko kwa watu wa Dar,ki ukweli shamba linapendeza


Nyumba ya mapdre


Wauminiwa kitokakanisani
Ghoroto ovyoonekanakwa upande


Ghoroto ivyoonekana Kwa Mbele

UWAJIBIKAJI

Nami sikuwanyuma nilishiriki katikapalizi kwenye mradimkubwa wa Obutunda (pesheni) wa Mama mdogo.

MINZIRO

Hii nisehemu ya zaidiya watoto 20 anowahudumia Mama Mdogo,wote siwafamu kwamajina ilakutoka kushoto mstariwanyuma mtoto wa marehemu Matatate wapili ni watoto wa Mjomba, wengi watoto wa mamamdogo na Mama Mdogo NNalinya,wengine walienda kucheza

Jan 19, 2011

UPDATE ZA KILIANI

usikumwema

Mama anaandaa msosiAlala!

Jambo

Cheko

Bashiri anataka kufanya nini


Kicheko

Hapa anajiandaa kuninyanganya Camera


Jamaa ni ngumi ,yaani hapo ilibidi kuwambali naye maana anaweza kukumuvushia ngumi


Akishiba huwa hana tatizo ni kulala kucheka,tabasamu