Hatimaye kile chama kilicho zua gumzo kuwa kinahusika na viongozi waandamizi wa serikali na wanasiasa nchini cha CCJ kimepata usajili wa Muda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini. Pichani ni Viongozi wa Chama hicho Mwenyekiti wa CCJ , Richard Kiyabo (kulia) na Katibu wake Renatusi Mwabihi wakionesha hati ya usajili na picha nyingine ni Mashabiki wakishangilia nje ya ofisi ya Msajili. (Picha na habari: MrokiMroki)
No comments:
Post a Comment