NAITWA NJONJO MFAUME, MWALIMU CHUO KIKUU DAR ES SALAAM, NA MWANAFUNZI WA SHAHADA YA PILI YA JOURNALISM MAKERERE UNIVERSITY; KWA SASA NAFANYA UTAFITI WA NAFASI YA BLOGS KATIKA KUTANUA UHURU WA HABARI
UKIWA KAMA BLOGGER NAOMBA UNISAIDIE KUJIBU MASWALI MACHACHE YAFUATAYO:
NATANGULIZA SHUKURANI ZANGU:
(JIBU KIINGEREZA AU KISWAHILI)
Your blog address: Name of your blog: Your Occupation: Gender: Age: (sio lazima)
1. Lini ulianzisha blog yako? 2. Nini madhumuni ya kuanzisha blog yako? 3. Ni nini ajenda kuu ya blog yako? 4. Unapata wapi habari au taarifa unazorusha katika blog yako? 5. Unaiendesha blog hii peke yako au unashirikiana na mtu? Nani (sio lazima jina) 6. Kwa maoni yako nini umuhimu wa maoni ya wasomaji kwa blog? 7. Ni kwa namna gani unawahusisha wasomaji wako katika kuchangia maoni au habari katika blog yako? 8. Unatumia vigezo gani kuamua aidha maoni au habari uliyopokea kwa ajili ya blog yanafaa kuchapisha au laa? 9. Je unaridhika na utendaji wa Vyombo Vikuu – YAANI Magazeti, Radio na TV? 10. Udhaifu gani wa Vyombo Vikuu – YAANI Magazeti, Radio na TV- unauona katika kufikisha habari na kuongoza mijadala ya kijamii? 11. Unadhani blog zinasaidia kutatua udhaifu huo wa vyombo vikuu? Kwa namna gani? 12. Je ni advantage gani unapata kwa kuwa na chombo chako aina ya ‘blog’ ukilinganisha na kushiriki kuchangia katika Vyombo Vikuu (radio, runinga na gazeti)? 13. Maadili gani yanakuongoza katika ku blog? (Mfano : Maadili ya habari, ya dini, ya kijamii nk… ) 14. Je unadhani uhuru wako wa kutoa maoni na kujieleza umeongezeka kwa kuwa na blog yako? Kwa namna gani?

2 comments:

Your blog address:
Name of your blog:
Your Occupation:
Gender:
Age: (sio lazima)
1. Lini ulianzisha blog yako?
2. Nini madhumuni ya kuanzisha blog yako?
3. Ni nini ajenda kuu ya blog yako?
4. Unapata wapi habari au taarifa unazorusha katika blog yako?
5. Unaiendesha blog hii peke yako au unashirikiana na mtu? Nani (sio lazima jina)
6. Kwa maoni yako nini umuhimu wa maoni ya wasomaji kwa blog?
7. Ni kwa namna gani unawahusisha wasomaji wako katika kuchangia maoni au habari katika blog yako?
8. Unatumia vigezo gani kuamua aidha maoni au habari uliyopokea kwa ajili ya blog yanafaa kuchapisha au laa?
9. Je unaridhika na utendaji wa Vyombo Vikuu – YAANI Magazeti, Radio na TV?
10. Udhaifu gani wa Vyombo Vikuu – YAANI Magazeti, Radio na TV- unauona katika kufikisha habari na kuongoza mijadala ya kijamii?
11. Unadhani blog zinasaidia kutatua udhaifu huo wa vyombo vikuu? Kwa namna gani?
12. Je ni advantage gani unapata kwa kuwa na chombo chako aina ya ‘blog’ ukilinganisha na kushiriki kuchangia katika Vyombo Vikuu (radio, runinga na gazeti)?
13. Maadili gani yanakuongoza katika ku blog? (Mfano : Maadili ya habari, ya dini, ya kijamii nk… )
14. Je unadhani uhuru wako wa kutoa maoni na kujieleza umeongezeka kwa kuwa na blog yako? Kwa namna gani?
Ends

Post a Comment