YANGA YAICHAKAZA TOTO AFRICA
Kipa wa Toto, Hussein Katandula akiwa chini huku ,sha,uliaji wa Yanga, Boniface Ambani akiwania mpira. Mshambuliaji wa pembeni wa Yanga,Nurdin Bakar akimtoka beki wa Toto Africa, Wiliamu Busweru wakati wa mchezo wa Ligi ya Vodacom uliofanyika leo kwenye dimba la Uhuru. Yanga ilishinda 6-0. Picha zote na Francis Dande wa Globu ya Jamii
No comments:
Post a Comment