Feb 24, 2010

Wanandoa

Hapa ukitaka tunda lazima uruke juu ya fence na fence yenyewe isiwe ya umeme, ushirikiano ni sufuri kabisa. Hii hutokea kuanzia miaka mitano ya ndoa na kuendelea.

No comments: