Feb 25, 2010

Usafiri

Kama we ni mtu wa bara bilashaka usafiri huu ulishawahi kuutumia hasasa daraja la3 wakati huo ilikuwa balaa kwani hata chooni palikuwa pana jaa watu,wakati huo ulikuwa karaa tupu,lakini ukilinganisha na hawa wenzetu wa India afadhali usari wetu wa wakati ule.

No comments: