TID ATANGAZA NDOA
TID akiwa katikati ya perfomance Platinum Club Mikocheni siku ya wapendano juzi, aliamua kuwashangaza watu alipozima muziki na kutangaza kuwa yuko tayari kuoa, kuhangaika tena sasa baaaaasi. Na Kinana ndie mwanamke aliemchaguliwa kuwa mke
Unanipenda?? Kinana akasema Ndio Nakupenda sana tu. Basi naomba uwe mke wangu, Bibie akakubali watu weeeeeeeee weeeeeeeee
No comments:
Post a Comment