Feb 19, 2010

PANYA

Panya waliookwa unapata kwa bei kuanzia tsh 1500 na kuendelea kutegemea na ukumbwa. Kuna kabila fulani kutoka Mtwara hii kitu kwao dili sana,sijui mnasemaje wadau.

No comments: