MILA NA TAMADUNI ZETU...
Mh.Mohammed Dewji mbunge wa Singida mjini akicheza ngoma za kimila za kabila la Singida hivi karibuni alipotembelea Jimboni mwake.
Hapa mzuka ulipanda MO alirusha mikono juu akaweka shida chini na kuamua kuonyesha kwamba hawezi kusahau ngoma za asili ya mahali alikozaliwa hii ilikuwa ni nje ya Ofisi za CCM katika kusherekea miaka 33 ya kuzaliwa kwa CCM, Mkoani Singida
No comments:
Post a Comment