Feb 15, 2010

CHAMELEONE AMZAWADIA MKEWE GARI


Mwimbaji maarufu nchini Uganda Jose Chameleone amemzawadia mkewe Gari jipya aina ya Harrier ikiwa ni zawadi siku ya wapendao iliyoa adhimishwa jana Duniani kote.Gari hili linasomeka kwa namba UAL 780M,Amemzawadia gari hilo ikiwa kama shukrani kwa mambo yote aliyo mfanyia

No comments: