Ajali ya gari iliyotokea hivi karibuni katika eneo la Mabungo nje kidogo ya mji wa Moshi ikihusisha lori la mafuta lenye namba za usajili T 391AFA na Toyota Hilux lenye namba T133 AQX. Hakuna taarifa iliyotolewa juu ya vifo au majeruhi walitokana na ajali hiyo.Wakazi wa eneo hilo inaonekana somo lililotokea kata ya Isongole mkoani Mbeya halikuwaingia ,wakaendelea na utaratibu wa kuchota mafuta bila kujhali kuwa wanahatarisha maisha yao. Picha zote na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi
No comments:
Post a Comment