HUYU MTOTO ALIYE JITAMBULISHA KWA JINA LA ALOYS NIMEMKUTA LEO ANAAMKA KUTOKA KWENYE MTARO ,SEHEMU HII HUITUMIA NA WENZAKE KUJISTILI USIKU KUCHA MJINI DODOMA. PICHA ZAIDI NITAZIWEKA JIONI NAELEKEA UKUMBI WA CHIMWAGA KWENYE KIKAO . NIKITOKA NITAKULETEA MFULULIZO WA PICHA NA MATUKIO KUTOKA HAPA DODOMA
No comments:
Post a Comment