Mwaka umeanza nami nimejipanga sawasawa kukupa vitu vipya ,mambo yalikuwa mengi mno maandalizi ya Harusi yalichukua muda mwingi sasa nimekamilisha usisahau ijumaa picha zitakuwa hapahapa kaa mkao wa kuziona.
HERI YA MWAKA MPYA
1 comment:
Anonymous
said...
ndio kijanaleo, tulikuwa tunazisubiri kwa hamu kubwa kuona picha za harusi yako,mbona umetuangusha. bado hatuzajipata, alhamisi saa sita usiku nilikuwa naangalia tena,kuona kama nitazipata,ila sijazikuta.
salamu nyingi toka hapa uholanzi. ni mimi mwanablogu mwenzako
1 comment:
ndio kijanaleo,
tulikuwa tunazisubiri kwa hamu kubwa kuona picha za harusi yako,mbona umetuangusha.
bado hatuzajipata,
alhamisi saa sita usiku nilikuwa naangalia tena,kuona kama nitazipata,ila sijazikuta.
salamu nyingi toka hapa uholanzi.
ni mimi mwanablogu mwenzako
Post a Comment