May 15, 2008

Siamini kama alama hiyo haionekani


Siamini kama walio egesha Magari hayo alama hawakuziona,Namna hii Ajali hazitoisha maana alama za Barabarani hazitekelezwi kwa makusudi,

2 comments:

Anonymous said...

Hiyo parking ni upande wa barabara. Zile parking za KCB

Anonymous said...

inawezekana hiyo gari ni ya govt.
mzee af wengine driving skuli hawaendagi...