Muonekano mpya wa New Bagamoyo Road
Muonekano mpya wa barabara ya New bagamoyo Road Barabara hii ilikuwa sugu kwa foleni hasa nyakati za asubuhi kutoka mwenge kwenda Posta na jioni kuanzia Moroco Kwenda Mwenge.Kwa sasa imepanuliwa na zimekuwa Barabara tatu kama Alama inavyoonesha ,ila nnawasiwasi na Madereva Daladala kama alama hii wana ifahamu
No comments:
Post a Comment