May 30, 2008

Hapa Itete wilaya ya Ulanga

Zahanati chini ya Mwembe Kijiji cha Itete Mkoa wa Moro, Matibabu ama uende Mahenge au Ifakara.Huku ndo Jimboni kwa Mheshimiwa Nani......hii wa jimbo la Ulanga Magharibi

No comments: